ad

Rayvanny – One Day Yes Lyrics

Rayvanny - One Day Yes Lyrics
ad

New music alert from Rayvanny – One Day Yes Lyrics, audio mp3

Top-notch Tanzanian music phenomenon and song composer Rayvanny comes through with an alluring record titled “One Day Yes.”


Listening to music can help reduce stress and anxiety level. Studies have shown that listening to calming music such as Afrobeat, hiphop, can lower cortisol levels in the body, which is the hormone associated with stress.

Have you been looking for the best platform to download latest Naija music & Lyrics you are in the right place? We have other category like Latest Instrumental, Mixtape, Biography, Videos/Movie and many more.

© Copyright disclaimer
Explorermind doesn’t own the song or its contents in it and doesn’t hope to do so, if you are the copyright owner please contact Explorermind. There’s no need for a copyright strike


Listen & Share

Lyrics

One Day Yes – Rayvanny

Sidanganyi mnapendezana., naona umejipata

umejipata

Anakuita honey mmefanana utasema mapacha, ooh mapacha nnnhh.

Najaribu kukusahau mwendeleee hataka umenikosea, nikusameh. kumbukumbu kichwani

ipotee labdha na mm nitapendwa one day.

kweli wivu ninao na roho inauma.

japo najikaza ila mapemzi yanauma. moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa.

Naona mmependana bora nikae pembeni

nisubiri wa kwanguuuuuu.

(chorus)

ONE DAY YES, ONE

ONE DAY YES. ONE DAY YES. Nitapata wa kwangu.

ONE DAY YES. ONE DAY YES ,ONE DAY YES. Na Mimi nitapendwa.

Unavonisema vibaya ivi unadzani siskiii.

Mnavyopost kunikomoa ivi unadzani sioni

Moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii

Nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na B. P.

Najipa moyo mchana na usiku kwa haya maumivu yatageuka njoziiiiiiiiiiiiiiii.

Najipaaaa moyooooo itafika siku nitapa wangu wee atanifuta machoziiiiii

() Najaribu kukusahau mwendeleee hataka umenikosea nikusameh .

kumbukumbu kichwani ipotee labdha na nitapendwa one day.

Kweli wivu ninao na roho inauma japo najikaza ila mapemzi yanauma .

moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa. naona mmependana bora nikae pembeni nisubiri wa kwanguuuuuu .

(Chorus)

ONE DAY YES .ONE DAY YES ONE DAY YES.

nitapata wa kwangu. ONE DAY YES na mm nitapendwaaaaa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *