New music alert from G Nako Ft Femi One – Tu Come lyrics & audio mp3
G Nako comes through with another banging hot tune tagged “Tu come lyrics & audio mp3”.
Listening to music can help reduce stress and anxiety level. Studies have shown that listening to calming music such as Afrobeat, hiphop, can lower cortisol levels in the body, which is the hormone associated with stress.
Have you been looking for the best platform to download latest Naija music & Lyrics you are in the right place? We have other category like Latest Instrumental, Mixtape, Biography, Videos/Movie and many more.
© Copyright disclaimer
Explorermind doesn’t own the song or its contents in it and doesn’t hope to do so, if you are the copyright owner please contact Explorermind. There’s no need for a copyright strike
Worth adding to your music playlist.
Listen & Share
G Nako Ft Femi One – Tu Come Lyrics
Mwanangu sina dakika
Ikikata sijui ntaongea vipi Nina upwiruuUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome Kheee leoUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome Utacome, ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucomeUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome Utacome ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucomeKishikwambi leo nipo kambi
Nikadhambi au si kadhambi Nipo gym sikati kitambi Ni kapesa weka kachambi chambi Kata simu watu tupo site Ukibanwa ma mi nipo tight Naliwasha niweke mood right Micharazo humu ndani ti chi Nikamtukano yaani kameet-ing Si tukutane tupige meeti-ng Kamsimamo hakilaliki Ni makelele ni halaikiUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi come utacome Ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucomeUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome utacome ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucomeNdo hiyo ndo hiyo
Utacome au kuna jam Utacome au huna hamu Ni patamu au si utamu Ni kwa nje au kwa ndani Nipo basi uje ndani Kuperfom maana nipoform Bibititi dalisalaam, popopipi palipapu Usije nichomesha mahindi yeh u Kajafanya nikamaind yeh Tumalocation faindi yeeh Nikutumikishe kihindi yeeh Kuchi kuchi hotae Kwichi kwichi walaah Ndichi ndichi Unipitishe kwenye miti mamaee Unalipa ila mi silipi Unashika, ila mi si shiki Naivuta haivutiki Chupi fupi ila haivuki kivipiUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome Utacome ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucomeUtacome ama mi nicome
Utacome ama mi nicome Utacome ama mi nicome Ni kwa zamu au nipo zamu? Tucome, tucome, tucome